Posts

Showing posts from April, 2021

Picha 12: Mstaafu Makonda, DC Jokate na wengineo walivyokabidhiwa vyeti vya kuhitimu

Image
   NI April 20, 2021 ambapo  wahitimu mbalimbali zaidi ya 120 wa ngazi Stashahada, Shahada na Astashahada ya uzamili ya uongozi kutoka taasisi ya Uongozi (Chuo Kikuu Aalto Finland) wamekabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu masomo yao. Miongoni mwa wahitimu ni aliyekuwa Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe , Jokate Mwegelo. Kusoma zaidi Click hapa